Surah Araf aya 132 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالُوا مَهْمَا تَأْتِنَا بِهِ مِنْ آيَةٍ لِّتَسْحَرَنَا بِهَا فَمَا نَحْنُ لَكَ بِمُؤْمِنِينَ﴾
[ الأعراف: 132]
Na wakisema: Hata ukituletea Ishara yoyote kutuzuga hatuto kuamini.
Surah Al-Araf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And they said, "No matter what sign you bring us with which to bewitch us, we will not be believers in you."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wakisema: Hata ukituletea Ishara yoyote kutuzuga hatuto kuamini.
Na kwa hii fikra mbovu waliyo nayo wakaendelea na upinzani. Walisema walipo ona miujiza ya Musa: Wewe hata ukituletea kila namna ya Ishara zinazo onyesha ukweli wa wito wako, ili kutuachisha dini yetu, na tusiwafanye watumwa watu wako, sisi hatukusadiki wala hatukufuati.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na shika Sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na
- Kwa hakika wakosefu watakaa katika adhabu ya Jahannamu.
- Fuateni mliyo teremshiwa kutoka kwa Mola Mlezi wenu, wala msifuate rafiki au walinzi wengine badala
- Akasema: Hii ni fimbo yangu; naiegemea na ninawaangushia majani kondoo na mbuzi wangu. Tena inanifaa
- Ambaye anakuona unapo simama,
- Na wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu baada ya hayo, basi hao ndio madhaalimu.
- (Akasema:) Nirudishieni! Akaanza kuwapapasa miguu na shingo.
- Bila ya shaka hakika wao ndio wenye kukhasiri huko Akhera.
- Enyi mlio amini! Msitangulie mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na mcheni Mwenyezi Mungu.
- Na mnacho kitoa kwa riba ili kiongezeke katika mali ya watu, basi hakiongezeki mbele ya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Araf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Araf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Araf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers