Surah Nuh aya 27 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوا إِلَّا فَاجِرًا كَفَّارًا﴾
[ نوح: 27]
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri.
Surah Nuh in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, if You leave them, they will mislead Your servants and not beget except [every] wicked one and [confirmed] disbeliever.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri.
Ewe Mola wangu Mlezi! Ukiwaacha hao bila ya kuwateketeza na kuwangoa watawatia waja wako katika upotovu, na wao hawatozaa ila wenye kupotoka vile vile wakaiacha haki, na wakakithiri kukukanya na kukuasi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha!
- Sema: Alhamdu Lillahi! Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu! Na amani ishuke juu ya waja wake
- Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri
- Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu.
- Na hamkuwa wenye kujificha hata masikio yenu, na macho yenu, na ngozi zenu, zisikushuhudilieni. Lakini
- Na matunda wayapendayo,
- Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayo onekana. Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.
- Timizeni kipimo sawa sawa, wala msiwe katika wanao punja.
- Naye anaogopa,
- Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nuh with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nuh mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nuh Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers