Surah Ibrahim aya 15 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَاسْتَفْتَحُوا وَخَابَ كُلُّ جَبَّارٍ عَنِيدٍ﴾
[ إبراهيم: 15]
Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi,
Surah Ibrahim in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And they requested victory from Allah, and disappointed, [therefore], was every obstinate tyrant.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi.
Hao Mitume waliomba nusura wawashinde hao watu wao wanao wapinga, baada ya kukata tamaa kuwa hawataamini tena. Mwenyezi Mungu aliwanusuru, na wakafuzu, na akakhasiri kila mwenye kiburi, akakataa kumtii Mwenyezi Mungu, akawa shadidi wa upinzani. (Haya yaliyo wapata Mitume huwapata watu wa Mungu wote wanao wania Haki hata katika zama zetu. Ushindi wa mwisho daima unakuwa kwa walio wema, hoja kuvumilia na kuendelea na kazi ya Mungu).
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wajaribuni mayatima mpaka wafike umri wa kuoa. Mkiwaona ni wekevu, basi wapeni mali yao.
- Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili
- Na kila mmoja katika wao atamfikia Siku ya Kiyama peke yake.
- Ili nitende mema sasa badala ya yale niliyo yaacha. Wapi! Hii ni kauli aisemayo yeye
- Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu.
- Je! Hawajifikirii nafsi zao? Mwenyezi Mungu hakuumba mbingu na ardhi na viliomo ndani yake ila
- Na alipo yafikia maji ya Madyana alikuta umati wa watu wananywesha (wanyama wao), na akakuta
- Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka.
- Na hakika Ilyas bila ya shaka alikuwa miongoni mwa Mitume.
- Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ibrahim with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ibrahim mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ibrahim Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers