Surah Araf aya 186 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿مَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَلَا هَادِيَ لَهُ ۚ وَيَذَرُهُمْ فِي طُغْيَانِهِمْ يَعْمَهُونَ﴾
[ الأعراف: 186]
Aliye mwacha Mwenyezi Mungu kupotea hana wa kumwongoa. Atawaacha hao wakitangatanga katika upotofu wao.
Surah Al-Araf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Whoever Allah sends astray - there is no guide for him. And He leaves them in their transgression, wandering blindly.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Aliye mwacha Mwenyezi Mungu kupotea hana wa kumwongoa. Atawaacha hao wakitangatanga katika upotofu wao.
Aliye andikiwa na Mwenyezi Mungu kupotea kwa uwovu wa uchaguzi wake mwenyewe, basi hapana mtu wa kumhidi. Na Yeye Subhana, Aliye takasika, anawaacha watu kama hao wakihangaika wala hawaitambui njia.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kwa hivyo Mwenyezi Mungu anawaadhibu wanaafiki wanaume, na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume, na washirikina
- Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wenye kumcha, na watendao mema.
- Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo,
- Na mkumbuke Ismail na Alyasaa na Dhulkifli, na wote hao ni katika walio bora.
- Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.
- Inafaa nisiseme juu ya Mwenyezi Mungu ila lilio la Haki. Nami hakika nimekujieni na dalili
- Firauni akawafuata pamoja na majeshi yake. Basi kiliwafudikiza humo baharini kilicho wafudikiza.
- Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu
- Na wao ati husema kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana!
- Wala hawana uwezo wa kuwanusuru wala wenyewe hawajinusuru.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Araf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Araf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Araf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers