Surah Qaf aya 22 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿لَّقَدْ كُنتَ فِي غَفْلَةٍ مِّنْ هَٰذَا فَكَشَفْنَا عَنكَ غِطَاءَكَ فَبَصَرُكَ الْيَوْمَ حَدِيدٌ﴾
[ ق: 22]
(Aambiwe): Kwa hakika ulikuwa umeghafilika na haya; basi leo tumekuondolea pazia lako, na kwa hivyo kuona kwako leo ni kukali.
Surah Qaf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[It will be said], "You were certainly in unmindfulness of this, and We have removed from you your cover, so your sight, this Day, is sharp."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
(Aambiwe): Kwa hakika ulikuwa umeghafilika na haya; basi leo tumekuondolea pazia lako, na kwa hivyo kuona kwako leo ni kukali.
Wataambiwa, kumtisha huyo mwenye kukadhibisha: Hakika wewe huko duniani ulikuwa umeghafilika kabisa na haya unayo sononeka nayo hivi sasa. Basi Sisi tumekuondolea pazia lilio kuwa likikuzuia usiyaone mambo ya Akhera. Basi jicho lako hii leo linaona kwa nguvu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mabedui wamesema: Tumeamini. Sema: Hamjaamini, lakini semeni: Tumesilimu. Kwani Imani haijaingia katika nyoyo zenu. Na
- Kisha tukawafuatilizia walio fuatia?
- Kisha mligeuka baada ya haya. Na lau kuwa si fadhila za Mwenyezi Mungu juu yenu
- Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua.
- Na tukambainishia zote njia mbili?
- Je! Imekuwa ajabu kwa watu kwamba tumemfunulia mmoja wao kuwa: Waonye watu, na wabashirie wale
- Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi.
- Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani?
- Na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,
- Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qaf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qaf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qaf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers