Surah Insan aya 24 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَاصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ وَلَا تُطِعْ مِنْهُمْ آثِمًا أَوْ كَفُورًا﴾
[ الإنسان: 24]
Basi ngojea hukumu ya Mola wako Mlezi wala usimt'ii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru.
Surah Al-Insan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
So be patient for the decision of your Lord and do not obey from among them a sinner or ungrateful [disbeliever].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi ngojea hukumu ya Mola wako Mlezi wala usimtii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru.
Basi subiri, uivumilie hikima ya Mola wako Mlezi kwa kuakhirisha kushinda kwako kuwashinda maadui zako, na wewe ukapata mitihani kwa maudhi yao. Wala usiwatii washirikina, wingi wa madhambi, walio zama katika ukafiri.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ni kama wale walio kuwa kabla yenu. Walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi
- Wakidabiri mambo.
- Na kifua changu kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki vyema. Basi mtumie ujumbe Harun.
- Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi.
- Na milima itakapo peperushwa,
- Je, watu wa mijini wameaminisha ya kuwa adhabu yetu haitawafika usiku, nao wamelala?
- Aliye umba, na akaweka sawa,
- Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii. Kisha akakufanyeni mwanamume
- Na hakika bila ya shaka hichi ni kiapo kikubwa, laiti mngeli jua!
- Sema: Ni nani anaye kuruzukuni kutoka mbinguni na kwenye ardhi? Au ni nani anaye miliki
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Insan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Insan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Insan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



