Surah Insan aya 23 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا عَلَيْكَ الْقُرْآنَ تَنزِيلًا﴾
[ الإنسان: 23]
Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani kidogo kidogo.
Surah Al-Insan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, it is We who have sent down to you, [O Muhammad], the Qur'an progressively.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Sisi tumekuteremshia Qurani kidogo kidogo.
Hakika Sisi, kwa rehema yetu na hikima yetu, tumekuteremshia wewe Qurani kwa njia ya kukutuza moyo wako, na uweze daima kuihifadhi, basi huto isahau kabisa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wakaondoka wakubwa wao wakiwaambia: Nendeni zenu na dumuni na miungu yenu, kwani hili ni
- Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa.
- Wala msiyakaribie mali ya yatima, isipo kuwa kwa njia iliyo bora, mpaka afike utuuzimani. Na
- Na hilo si gumu kwa Mwenyezi Mungu.
- Na Jahannamu itapo chochewa,
- Wakasema: Sisi tumeagua kuwa nyinyi ni wakorofi. Ikiwa hamtaacha basi kwa yakini tutakupigeni mawe, na
- Na pimeni kwa haki iliyo nyooka;
- Na hakika walifanyiwa kejeli Mitume walio kuwa kabla yako. Na nikawapururia wale walio kufuru, kisha
- Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri.
- Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Insan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Insan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Insan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers