Surah Raad aya 32 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدِ اسْتُهْزِئَ بِرُسُلٍ مِّن قَبْلِكَ فَأَمْلَيْتُ لِلَّذِينَ كَفَرُوا ثُمَّ أَخَذْتُهُمْ ۖ فَكَيْفَ كَانَ عِقَابِ﴾
[ الرعد: 32]
Na hakika walifanyiwa kejeli Mitume walio kuwa kabla yako. Na nikawapururia wale walio kufuru, kisha nikawashika! Basi ilikuwaje adhabu yangu!
Surah Ar-Rad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And already were [other] messengers ridiculed before you, and I extended the time of those who disbelieved; then I seized them, and how [terrible] was My penalty.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hakika walifanyiwa kejeli Mitume walio kuwa kabla yako. Na nikawapururia wale walio kufuru, kisha nikawashika! Basi ilikuwaje adhabu yangu!
Na ikiwa hao wanao kanya wamekufanyia kejeli kwa hayo unao waitia na kwa Qurani, basi walifanyiwa maskhara vile vile Mitume walio tumwa kabla yako wewe, ewe Nabii. Basi usihuzunike, kwani mimi nawapa muhula tu hawa wanao kanya, kisha nitawatwaa, na hapo itakuwa adhabu kali isiyo wezekana kuelezwa wala kujuulikana hali yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wanapo kujia wanao ziamini Ishara zetu waambie: Assalamu alaikum! Amani iwe juu yenu! Mola
- Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa.
- Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu,
- Sema: Toeni mkipenda msipende. Hakitopokelewa kitu kwenu, kwani nyinyi ni watu wapotovu.
- (Nao watasema:) Wala hatuteremki ila kwa amri ya Mola wako Mlezi. Ni yake Yeye yaliyoko
- Na wasomee khabari za yule ambaye tulimpa Ishara zetu, naye akajivua nazo. Na Shet'ani akamuandama,
- Ndio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa;
- Au wanawahusudu watu kwa yale aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake? Basi tuliwapa ukoo
- Tazama jinsi wanavyo kupigia mifano. Basi wamepotea, wala hawataiweza Njia.
- Na hawakutupoteza ila wale wakosefu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Raad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Raad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Raad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers