Surah Zukhruf aya 30 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَمَّا جَاءَهُمُ الْحَقُّ قَالُوا هَٰذَا سِحْرٌ وَإِنَّا بِهِ كَافِرُونَ﴾
[ الزخرف: 30]
Na ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa.
Surah Az-Zukhruf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
But when the truth came to them, they said, "This is magic, and indeed we are, concerning it, disbelievers."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa.
Na ilipo teremka Qurani kuwaongoza kwenye Tawhid wakaongeza juu ya ushirikina wao kuita Qurani : -uchawi- na -kiini macho-, kwa kejeli. Na wakashikilia ukafiri wao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano!
- Bustani za milele zitazo funguliwa milango yao kwa ajili yao.
- Na kwamba Yeye ndiye anaye leta kicheko na kilio.
- Basi wakamjia upesi upesi.
- Basi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo tupa!
- Na kwamba ni Yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha.
- Na yeye hakuwa na mamlaka yoyote juu yao, ila kwa sababu ya kuwajaribu tujue nani
- Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua.
- Na zinazo beba mizigo,
- Wakasema: Hakika wewe ni katika walio rogwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Zukhruf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Zukhruf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Zukhruf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



