Surah Zukhruf aya 31 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالُوا لَوْلَا نُزِّلَ هَٰذَا الْقُرْآنُ عَلَىٰ رَجُلٍ مِّنَ الْقَرْيَتَيْنِ عَظِيمٍ﴾
[ الزخرف: 31]
Na walisema: Kwa nini Qur'ani hii haikuteremshwa kwa mtu mkubwa katika miji miwili hii?
Surah Az-Zukhruf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And they said, "Why was this Qur'an not sent down upon a great man from [one of] the two cities?"
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na walisema: Kwa nini Qurani hii haikuteremshwa kwa mtu mkubwa katika miji miwili hii?
Na washirikina, kwa kumdharau Muhammad na kuona haiwezi kuwa yeye ateremshiwe Qurani, walisema: Kwa nini basi hii Qurani, ambayo yeye anadai kuwa ni Wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu, asiteremshiwe mtu mkubwa mtukufu katika watu wa Makka au taif?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Thamudi waliwakanusha Waonyaji.
- Na ukiwauliza; Nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri
- Na ndio kama hivi tumeiteremsha Qur'ani kuwa ni hukumu kwa lugha ya Kiarabu. Na ukifuata
- Nenda kwa Firauni; kwani hakika yeye amepindukia mipaka.
- Nayo ni Jahannamu! Maovu yaliyoje makaazi hayo!
- Akitaka atakuondoeni na alete viumbe vipya.
- Na hiki Kitabu, tumekuteremshia wewe, kimebarikiwa, ili wazizingatie Aya zake, na wawaidhike wenye akili.
- Na milima itakuwa kama sufi.
- Siku ya Kiyama atawatangulia watu wake na atawaingiza Motoni. Na muingio muovu ulioje huo!
- Ili awalipe walio amini na wakatenda mema. Hao watapata msamaha na riziki ya ukarimu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Zukhruf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Zukhruf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Zukhruf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers