Surah Hijr aya 68 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالَ إِنَّ هَٰؤُلَاءِ ضَيْفِي فَلَا تَفْضَحُونِ﴾
[ الحجر: 68]
Akasema: Hakika hawa wageni wangu, basi msinifedheheshe.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[Lot] said, "Indeed, these are my guests, so do not shame me.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Akasema: (Luuti) Hakika hawa wageni wangu, basi msinifedheheshe.
Luuti akaogopa wasije wakatenda vitendo vyao viovu. Akasema: Hawa ni wageni wangu, basi msinifedheheshe kwa vitendo vyenu vibaya.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
- Walio amini wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na walio kufuru wanapiana katika njia ya
- Siku hiyo pa kutua ni kwa Mola wako Mlezi tu.
- Je! Hawaizingatii hii Qur'ani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli?
- Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa.
- Na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa.
- Hakika Sisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na Moto mkali.
- Kisha Ole wako, ole wako!
- Na kaweka katika ardhi milima ili ardhi isiyumbe yumbe nanyi. Na mito, na njia ili
- Basi wao kwa hakika siku hiyo watashirikiana katika adhabu pamoja.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



