Surah Nahl aya 48 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَوَلَمْ يَرَوْا إِلَىٰ مَا خَلَقَ اللَّهُ مِن شَيْءٍ يَتَفَيَّأُ ظِلَالُهُ عَنِ الْيَمِينِ وَالشَّمَائِلِ سُجَّدًا لِّلَّهِ وَهُمْ دَاخِرُونَ﴾
[ النحل: 48]
Je! Hawavioni vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia Mwenyezi Mungu na vikinyenyekea?
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Have they not considered what things Allah has created? Their shadows incline to the right and to the left, prostrating to Allah, while they are humble.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je! Hawavioni vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia Mwenyezi Mungu na vikinyenyekea?
Hao makafiri wameghafilika na Ishara za Mwenyezi Mungu zilizo wazunguka. Wala hawatazami wakazingatia vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu vilivyo tulia, na hali vivuli vyake vinakwenda. Mara vinanyookea kulia na mara kushoto, vikifuata mwendo wa jua mchana, na mwendo wa mwezi usiku. Na vyote hivyo vinatii amri ya Mwenyezi Mungu, vinafuata hikima ya mipango yake. Na lau washirikina wangeli zingatia haya, wangeli jua kuwa Muumba wake, na Mwenye kuyapanga ni Yeye peke yake anaye stahiki kuabudiwa na kunyenyekewa, Muweza wa kuwahiliki akitaka.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ya kuwa leo hata masikini mmoja asikuingilieni.
- Walio amini wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na walio kufuru wanapiana katika njia ya
- Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu.
- Hao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha Mungu.
- Nao wanatuudhi.
- Basi litakase jina la Mola wako Mlezi Mtukufu.
- Na Siku atakapo wakusanya, itakuwa kama kwamba hawakukaa ila saa moja tu ya mchana! Watatambuana.
- Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu,
- Na hakika Harun alikwisha waambia kabla yake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmetiwa mtihanini tu
- Wanakuapieni ili muwe radhi nao. Basi hata mkiwa radhi nao nyiye, Mwenyezi Mungu hawi radhi
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers