Surah Nahl aya 47 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَوْ يَأْخُذَهُمْ عَلَىٰ تَخَوُّفٍ فَإِنَّ رَبَّكُمْ لَرَءُوفٌ رَّحِيمٌ﴾
[ النحل: 47]
Au hatawashika kwa kitisho na kuwapunguza kidogo kidogo? Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye huruma, Mwenye kurehemu.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Or that He would not seize them gradually [in a state of dread]? But indeed, your Lord is Kind and Merciful.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Au hatawashika kwa kitisho na kuwapunguza kidogo kidogo? Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye huruma, Mwenye kurehemu.
Au akawateremshia adhabu katika nafsi zao na mali yao kidogo kidogo, na hali wao kila wakati wa hiyo adhabu wamo katika khofu na kuingoja iwateremkie. Basi, enyi washirikina! Msiendelee, mkajidanganya kwa kuchelewa adhabu yenu! Upole wake Mwenyezi Mungu ulio enea, na rehema yake iliyo kunjuka, ndio iliyo hukumu asikuleteeni kwa haraka adhabu ya hapa duniani, ili mpate kufikiri na kuzingatia. Kwani Yeye Subhanahu ni Mpole na Mwenye kurehemu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutafautiana ndimi zenu na rangi
- Na tulimwokoa yeye na ahali zake kutokana na msiba mkubwa.
- Alif Lam Mim.
- Hayo ni kwa sababu waliyachukia aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, basi akaviangusha vitendo vyao.
- Na hatukumtuma Mtume yeyote ila at'iiwe kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na lau pale walipo
- Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa
- Je! Mnaona makulima mnayo yapanda?
- Na huku mkitakabari na usiku mkiizungumza (Qur'ani) kwa dharau.
- Tungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru?
- Kisha baada yao tukaanzisha kizazi kingine.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers