Surah Yunus aya 58 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قُلْ بِفَضْلِ اللَّهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَٰلِكَ فَلْيَفْرَحُوا هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ﴾
[ يونس: 58]
Sema: Kwa fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake! Basi nawafurahi kwa hayo. Haya ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya.
Surah Yunus in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Say, "In the bounty of Allah and in His mercy - in that let them rejoice; it is better than what they accumulate."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sema: Kwa fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake! Basi nawafurahi kwa hayo. Haya ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya.
Ewe Mtume! Waambie: Furahieni fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake juu yenu kwa kuiteremsha Qurani, na kubainisha Sharia ya Islamu. Na hii ni bora kuliko starehe zote anazo zikusanya mtu duniani, kwa sababu hichi ni chakula cha nyoyo na dawa ya maradhi yake.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na hakika tulikwisha watumia Mitume mataifa ya mwanzo.
- Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi
- Wala hahimizi kumlisha masikini.
- Katika Bustani ya juu,
- Wala usinihizi Siku watapo fufuliwa.
- Na wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?
- Sema: Basi leteni Kitabu kinacho toka kwa Mwenyezi Mungu chenye kuongoka zaidi kuliko hivi viwili
- Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama katika hayo mnayo khitalifiana.
- Na ili walio pewa ilimu wajue kuwa hayo ni Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi
- Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yunus with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yunus mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yunus Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



