Surah Nisa aya 70 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ذَٰلِكَ الْفَضْلُ مِنَ اللَّهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ عَلِيمًا﴾
[ النساء: 70]
Hiyo ni fadhila itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kutosha.
Surah An-Nisa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
That is the bounty from Allah, and sufficient is Allah as Knower.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hiyo ni fadhila itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kutosha.
Hayo ni makao matukufu kwa mwenye kumtii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hiyo ni fadhila kubwa inayo tokana na Mwenyezi Mungu. Naye anavijua sana vitendo vyenu, naye atakulipeni kwavyo. Yamtosha Muumini kuwa Mwenyezi Mungu anamjua, naye lake ni kumtii Mola wake Mlezi na kutafuta radhi zake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.
- Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi.
- Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
- Na kwa usiku na unavyo vikusanya,
- Na wakasema wakuu walio kufuru katika kaumu yake: Hatukuoni wewe ila ni mtu tu kama
- Ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. Hakika mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, Mola
- Na matunda wanayo yapenda,
- Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama.
- Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye
- Huyo ndiye anaye msukuma yatima,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nisa with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nisa mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nisa Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers