Surah Yusuf aya 14 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالُوا لَئِنْ أَكَلَهُ الذِّئْبُ وَنَحْنُ عُصْبَةٌ إِنَّا إِذًا لَّخَاسِرُونَ﴾
[ يوسف: 14]
Wakasema: Ikiwa mbwa mwitu atamla na hali sisi ni kundi lenye nguvu kabisa, basi bila ya shaka sisi tutakuwa khasarani.
Surah Yusuf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
They said, "If a wolf should eat him while we are a [strong] clan, indeed, we would then be losers."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wakasema: Ikiwa mbwa mwitu atamla na hali sisi ni kundi lenye nguvu kabisa, basi bila ya shaka sisi tutakuwa khasarani.
Wakasema: Tunakuapia, akiliwa na mbwa, na hali sisi ni kundi lenye nguvu, basi itakuwa ni fedheha na khasara kwetu! Likitokea hilo unalo liogopa basi sisi tutakuwa tumekhasiri kila linalo pasa kulishughulikia, na kuwa lisitokee. Basi tuwa kwa hayo! Hatutadharau kumlinda, ikiwa hivyo itakuwa tunajipelekea wenyewe kupotea na kupuuza.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Naye ndiye Mwenye nguvu juu ya waja wake, na ndiye Mwenye hikima na Mwenye khabari
- Je! Mnayaona maji mnayo yanywa?
- Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote!
- Akasema: Nayajuaje waliyo kuwa wakiyafanya?
- Na ingawa kabla ya kuteremshiwa walikuwa wenye kukata tamaa.
- Kwa kitu gani amemuumba?
- Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
- Na ukiwauliza; Nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri
- Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akasali.
- Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yusuf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yusuf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yusuf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers