Surah Fussilat aya 13 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَإِنْ أَعْرَضُوا فَقُلْ أَنذَرْتُكُمْ صَاعِقَةً مِّثْلَ صَاعِقَةِ عَادٍ وَثَمُودَ﴾
[ فصلت: 13]
Basi wakipuuza wewe sema: Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya A'di na Thamudi,
Surah Fussilat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
But if they turn away, then say, "I have warned you of a thunderbolt like the thunderbolt [that struck] 'Aad and Thamud.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi wakipuuza wewe sema: Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya Adi na Thamudi,
Basi washirikina wakipuuza Imani baada ya kuwekewa wazi dalili zake, wewe, Mtume, waambie: Nimekuonyeni msije kupatilizwa kwa adhabu kali kama iliyo wateketeza kina Adi na Thamudi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kwa kudai kwao kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana.
- Katika Nyumba ambazo Mwenyezi Mungu ameamrisha zitukuzwe, na humo litajwe jina lake, wanamtakasa humo asubuhi
- Na tulikuwa tukiikanusha siku ya malipo.
- Mkisema: Hakika sisi tumegharimika;
- Siku hiyo hataulizwa dhambi zake mtu wala jini.
- Na majeshi ya Ibilisi yote.
- Na hao ndio kina A'adi. Walizikanusha Ishara za Mola wao Mlezi, na wakawaasi Mitume wake,
- Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke wangu ni tasa. Basi nipe
- Na lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo.
- Na mitende mirefu yenye makole yaliyo zaa kwa wingi,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fussilat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fussilat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fussilat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers