Surah Baqarah aya 18 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ﴾
[ البقرة: 18]
Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea.
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Deaf, dumb and blind - so they will not return [to the right path].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea.
Watu hawa ni kama viziwi, kwani wamepoteza manufaa ya kusikia; hawaisikii Haki kwa msikio wa kuikubali na kuitikia. Nao ni kama bubu, kwa sababu hawatamki la uwongofu au la Haki. Na wao kama vipofu, kwani hawanufaiki kwa macho yao. Hawazingatii na kujikataza. Basi hao hawaachi upotovu wao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, na yaliyomo kati yao, na ni Mola Mlezi wa
- Kuwa ni ukumbusho. Wala Sisi hatukuwa wenye kudhulumu.
- Malipo kutoka kwa Mola wako Mlezi, kipawa cha kutosha.
- Nao wanatuudhi.
- Wakasema: Mjengeeni jengo, na kisha mtupeni motoni humo!
- Hao, makaazi yao ni Motoni kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma.
- Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele!
- Wapate kuyakanya tuliyo wapa, na wajistareheshe. Lakini watakuja jua!
- Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu.
- Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



