Surah Ad Dukhaan aya 13 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَنَّىٰ لَهُمُ الذِّكْرَىٰ وَقَدْ جَاءَهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ﴾
[ الدخان: 13]
Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha.
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
How will there be for them a reminder [at that time]? And there had come to them a clear Messenger.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha.
Watu hawa watawaidhika vipi, hata watimize hiyo Imani wanayo iahidi wakiondolewa adhabu, na hali Mtume mwenye ujumbe ulio wazi kesha wajia na miujiza yenye kuonyesha ukweli wake, na hayo ndiyo mawaidha makubwa kabisa?
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- WAHESHIMIWA WALIO TAKABARI katika kaumu yake wakasema: Ewe Shua'ib! Tutakutoa wewe pamoja na wale walio
- NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?
- Materemsho yatokayo kwa aliye umba ardhi na mbingu zilizo juu.
- Au wamepata miungu katika ardhi inayo fufua?
- Na ambao wanafanya uchafu miongoni mwa wanawake wenu, washuhudizieni watu wane katika nyinyi. Watakapo shuhudia,
- Wale ambao walikuwa wakizuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wakataka kuipotosha, nao wanaikanusha Akhera.
- Ewe Nabii! Wahimize Waumini wende vitani. Wakiwapo kati yenu ishirini wanao subiri watawashinda mia mbili.
- Na moyo wa mama yake Musa ukawa mtupu. Alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa hatukumtia nguvu
- Au izidishe - na soma Qur'ani kwa utaratibu na utungo.
- Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



