Surah Al Imran aya 141 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلِيُمَحِّصَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَيَمْحَقَ الْكَافِرِينَ﴾
[ آل عمران: 141]
Na pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walio amini na awafutilie mbali makafiri.
Surah Al Imran in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And that Allah may purify the believers [through trials] and destroy the disbelievers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walio amini na awafutilie mbali makafiri.
Kwa huku kushindwa kwa muda, Mwenyezi Mungu anawasafisha jamaa Waumini, na anawatahirisha kutokana na wale wenye nyoyo mbaya na imani dhaifu, na wenye kueneza moyo wa kushindwa na wasiwasi; na kwa hivyo ndio anaungolea mbali ukafiri na makafiri wenyewe pia.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na walipo ingia kwa Yusuf alimchukua nduguye akasema: Mimi hakika ni nduguyo. Basi usihuzunike kwa
- Enyi mlio amini! Msiwafanye marafiki wale walio ifanyia kejeli na mchezo Dini yenu miongoni mwa
- Ewe uliye jigubika!
- (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu?
- Wala msifanye viapo vyenu ni njia ya kudanganyana baina yenu. Usije mguu ukateleza badala ya
- Ama ajionaye hana haja,
- Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza?
- Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika kutarajia.
- Na milima kama vigingi?
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Imran with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Imran mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Imran Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers