Surah Araf aya 204 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا قُرِئَ الْقُرْآنُ فَاسْتَمِعُوا لَهُ وَأَنصِتُوا لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ﴾
[ الأعراف: 204]
Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa.
Surah Al-Araf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
So when the Qur'an is recited, then listen to it and pay attention that you may receive mercy.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na isomwapo Qurani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa.
Enyi Waumini! Mkisomewa Qurani isikilizeni kwa masikio yenu, mpate kuzingatia mawaidha yake, na msikilize vizuri mpate kuipata rehema.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu.
- Wala hawakusema: Mungu akipenda!
- Mola wake Mlezi alipo mwita katika bonde takatifu la T'uwaa, akamwambia:
- Kwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanao uliza.
- Mfano wa vile wanavyo vitoa katika uhai wao wa duniani ni kama upepo ambao ndani
- Hakika Mola wako Mlezi anajua ya kuwa hakika wewe unakesha karibu na thuluthi mbili za
- Nao husema: Wanyama hawa na mimea hii ni mwiko. Hawatokula ila wale tuwapendao - kwa
- Wakae juu ya viti vya enzi wakiangalia.
- Moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana.
- Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Araf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Araf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Araf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers