Surah Shuara aya 217 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَتَوَكَّلْ عَلَى الْعَزِيزِ الرَّحِيمِ﴾
[ الشعراء: 217]
Na umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And rely upon the Exalted in Might, the Merciful,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
Na tegemeza mambo yako kwa Mwenye nguvu, Mwenye uweza wa kuwatenda nguvu adui zako kwa utukufu wake, na kukunusuru wewe na kumnusuru kila mwenye kufanya amali yake kwa usafi wa niya.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!
- Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet'ani?
- Na makhazina, na vyeo vya hishima,
- Hakika Mola wako Mlezi anajua ya kuwa hakika wewe unakesha karibu na thuluthi mbili za
- La! Hajamaliza aliyo muamuru.
- Na wakadhani kuwa hapatakuwa majaribio; basi wakawa vipofu na viziwi. Kisha Mwenyezi Mungu akawapokelea toba
- Na mchamngu ataepushwa nao,
- Basi pigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu. Hukalifishwi ila nafsi yako tu. Na wahimize Waumini.
- Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua?
- Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



