Surah Muhammad aya 24 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ أَمْ عَلَىٰ قُلُوبٍ أَقْفَالُهَا﴾
[ محمد: 24]
Je! Hawaizingatii hii Qur'ani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli?
Surah Muhammad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then do they not reflect upon the Qur'an, or are there locks upon [their] hearts?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je! Hawaizingatii hii Qurani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli?
Wameingia upofu hata hawaufahamu uwongofu wa Qurani? Bali kwenye nyoyo zao zipo kufuli zinawazuia wasiizingatie.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wachache katika wa mwisho.
- Kisha bila ya shaka mtagombana Siku ya Kiyama mbele ya Mola wenu Mlezi.
- Wala nisingeli jua nini hisabu yangu.
- Sema: Siku ya Ushindi, wale walio kufuru imani yao haitawafaa kitu, wala wao hawatapewa muhula.
- Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande.
- Wallahi! Sisi tulituma Mitume kwa umati zilizo kuwa kabla yako, lakini Shetani aliwapambia vitendo vyao.
- Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa.
- Ewe Nabii! Watakapo kujia wanawake Waumini wanakuahidi ya kwamba hawatamshirikisha Mwenyezi Mungu na chochote, wala
- Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.
- Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika neema,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muhammad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muhammad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muhammad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



