Surah Ad Dukhaan aya 28 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿كَذَٰلِكَ ۖ وَأَوْرَثْنَاهَا قَوْمًا آخَرِينَ﴾
[ الدخان: 28]
Ndio hivyo! Na tukawarithisha haya watu wenginewe.
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Thus. And We caused to inherit it another people.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ndio hivyo! Na tukawarithisha haya watu wenginewe.
Mfano wa adhabu hiyo Mwenyezi Mungu humuadhibu mwenye kwenda kinyume na amri yake, na akatoka katika utiifu wake, na humwondolea neema yule mwenye nayo akawapa watu wenginewe wasio kuwa na makhusiano nao yoyote, la ya ujamaa wala dini.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,
- Haukuacha chochote ulicho kifikia ila ulikifanya kama kilio nyambuka.
- Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika?
- Basi jicho litapo dawaa,
- Na taabu inapo mfikia mtu humwomba Mola wake Mlezi naye ameelekea kwake. Kisha akimpa neema
- Je, mnastaajabu kukujieni mawaidha yanayotoka kwa Mola Mlezi wenu kwa njia ya mtu aliye ni
- Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
- Wanayumba yumba baina ya huku na huko. Huku hawako na huko hawako. Na ambaye Mwenyezi
- Na kivuli kilicho tanda,
- Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



