Surah Al Asr aya 3 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَتَوَاصَوْا بِالْحَقِّ وَتَوَاصَوْا بِالصَّبْرِ﴾
[ العصر: 3]
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
Surah Al-Asr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Except for those who have believed and done righteous deeds and advised each other to truth and advised each other to patience.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
Isipo kuwa wale walio muamini Mwenyezi Mungu na wakatenda mema, na wakadumu juu ya utiifu, na wakasemezana na kuusiana kwa kushikamana na Haki, kwa itikadi, na maneno, na vitendo. Na wakausiana wasubiri na wavumilie mashaka yanayo wapata wenye kushikamana na Dini. Basi hao ndio wenye kusalimika na hiyo khasara, wenye kufanikiwa duniani na Akhera.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na hii ndiyo Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka. Tumezipambanua Aya kwa watu wanao
- NA WALISEMA wale wasio taraji kukutana nasi: Mbona sisi hatuteremshiwi Malaika au hatumwoni Mola wetu
- Je! Mwawaona wale mnao waomba badala ya Mwenyezi Mungu? Nionyesheni wameumba nini katika ardhi; au
- Na bila ya shaka walikwisha kanusha walio kuwa kabla yao; basi kulikuwaje kukasirika kwangu?
- Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki.
- Na tukampelekea Musa na ndugu yake wahyi huu: Watengenezeeni majumba watu wenu katika Misri na
- Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
- Na hakika Ibrahim alikuwa katika kundi lake,
- Na miongoni mwao wapo wanao muudhi Nabii na kusema: Yeye huyu ni sikio tu. Sema:
- Na tunawajua walio tangulia katika nyinyi, na tunawajua walio taakhari.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Asr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Asr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Asr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



