Surah Qadr aya 3 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿لَيْلَةُ الْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ﴾
[ القدر: 3]
Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
Surah Al-Qadr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The Night of Decree is better than a thousand months.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
Usiku wa Qadr na Sharaf, Cheo na Utukufu, ni bora kuliko miezi elfu, kwa kuwa umekhusika kwa kuteremka ndani yake Qurani tukufu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni.
- Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze.
- Sema: Nendeni katika ardhi, na tazameni ulikuwaje mwisho wa wakosefu.
- Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu.
- Lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe.
- Kisha mmwagieni juu ya kichwa chake adhabu ya maji yanayo chemka.
- Akasema: Haki! Na haki ninaisema.
- Na mkifa au mkiuliwa ni kwa Mwenyezi Mungu ndio mtakusanywa.
- (Firauni) akasema: Basi Mola wenu Mlezi ni nani, ewe Musa?
- Ut'iifu na kauli njema. Na jambo likisha azimiwa, basi wakiwa ni wakweli kwa Mwenyezi Mungu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qadr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qadr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qadr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers