Surah Ad Dukhaan aya 37 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَهُمْ خَيْرٌ أَمْ قَوْمُ تُبَّعٍ وَالَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ أَهْلَكْنَاهُمْ ۖ إِنَّهُمْ كَانُوا مُجْرِمِينَ﴾
[ الدخان: 37]
Je! Ni wao bora au watu wa Tubbaa' na walio kuwa kabla yao? Tuliwaangamiza. Hakika hao walikuwa wakosefu.
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Are they better or the people of Tubba' and those before them? We destroyed them, [for] indeed, they were criminals.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je! Ni wao bora au watu wa Tubbaa na walio kuwa kabla yao? Tuliwaangamiza. Hakika hao walikuwa wakosefu.
Je! Makafiri wa Makka wanawashinda kaumu ya Tubbaa na walio watangulia kwa nguvu, na ulinzi, na utawala, na mambo yote ya kidunia? Ewe Muhammad! Hao washirikina wa kaumu yako hawawashindi hao kwa nguvu, na hao Sisi tuliwateketeza katika dunia kwa ukafiri wao na madhambi yao. Basi nawawazingatie!
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo.
- Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo
- Na ulipo ondoka tu msafara baba yao alisema: Hakika mimi nasikia harufu ya Yusuf, lau
- Na hakika tulikwisha mpa Ibrahim uwongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua.
- Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
- Fungu kubwa katika wa mwanzo,
- Wale ambao tukiwapa madaraka katika nchi husimamisha Sala, na wakatoa Zaka, na wakaamrisha mema, na
- Akamfundisha kubaini.
- Na wale ambao Ishara za Mola wao Mlezi wanaziamini,
- Na akiambiwa: Mwogope Mwenyezi Mungu, hupandwa na mori wa kutenda madhambi. Basi huyo inamtosha Jahannam.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers