Surah Al Isra aya 45 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ جَعَلْنَا بَيْنَكَ وَبَيْنَ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ حِجَابًا مَّسْتُورًا﴾
[ الإسراء: 45]
Na unapo soma Qur'ani tunaweka baina yako na wale wasio iamini Akhera pazia linalo wafunika.
Surah Al-Isra in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when you recite the Qur'an, We put between you and those who do not believe in the Hereafter a concealed partition.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na unapo soma Qurani tunaweka baina yako na wale wasio iamini Akhera pazia linalo wafunika.
Ewe Nabii! Unapo soma Qurani inayo taja dalili za Haki, Sisi huweka pazia, lenye kukuficha baina yako na wale wasio amini kufufuliwa na malipo, pale wanapo taka kukushambulia. Kwa hivyo hawakuoni.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wale walio kufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni.
- Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo.
- Na mkilipiza basi lipizeni sawa na vile mlivyo adhibiwa. Na ikiwa mtasubiri, basi hakika hivyo
- Lakini alipuuza kwa sababu ya nguvu zake na akasema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu!
- Ambaye anakuona unapo simama,
- Tulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote.
- Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!
- Nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzuliya uwongo Mwenyezi Mungu, au anaye sema: Mimi nimeletewa
- Hebu hukuona vipi Mwenyezi Mungu alivyo piga mfano wa neno zuri? Ni kama mti mzuri,
- Khabari za wakosefu:
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Isra with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Isra mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Isra Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers