Surah An Nur aya 48 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا دُعُوا إِلَى اللَّهِ وَرَسُولِهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ إِذَا فَرِيقٌ مِّنْهُم مُّعْرِضُونَ﴾
[ النور: 48]
Na wanapo itwa kumuendea Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina yao, kipo kikundi katika wao kinakataa.
Surah An-Nur in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when they are called to [the words of] Allah and His Messenger to judge between them, at once a party of them turns aside [in refusal].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wanapo itwa kumuendea Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina yao, kipo kikundi katika wao kinakataa.
Na katika hali zao ni kuwa wakitakiwa kuhukumiwa mbele ya Mtume kwa jambo alilo literemsha Mwenyezi Mungu, unaafiki wa baadhi yao hudhihiri, na wao hukataa kuhukumiwa wakijua kuwa haki ni ya wale makhasimu zao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ili wajue wanao jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala pa kukimbilia.
- Kwa kudai kwao kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana.
- Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
- Kama kwamba wao ni yakuti na marijani.
- Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara
- Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka.
- Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa.
- Enyi mlio amini! Msiwafanye makafiri kuwa ndio marafiki badala ya Waumini. Je, mnataka Mwenyezi Mungu
- Enyi mlio amini! Mkiwaoa wanawake, Waumini, kisha mkawapa t'alaka kabla ya kuwagusa, basi hamna eda
- Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke wangu ni tasa. Basi nipe
Quran Surah in Swahili :
Download Surah An Nur with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah An Nur mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter An Nur Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



