Surah Hijr aya 53 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالُوا لَا تَوْجَلْ إِنَّا نُبَشِّرُكَ بِغُلَامٍ عَلِيمٍ﴾
[ الحجر: 53]
Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye ujuzi.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[The angels] said, "Fear not. Indeed, we give you good tidings of a learned boy."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye ujuzi.
Wakasema: Usiogope, na tuwa moyo! Kwani tunakubashiria mwana, ambaye Mwenyezi Mungu Mtukufu atampa siku zijazo za uhai wake ilimu kubwa. Inaonyesha hapa kuwa bishara hii si ya Ismail a.s. Kwani Ismail alikuwa kesha zaliwa, naye na mama yake Haajir walikuwa wapo Makka. Bishara hii ni ya Ibrahim na mkewe, basi kwa hivyo ni ya Is-haq mwana wa Ibrahim na Sara.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake.
- Ambao wanajiepusha na madhambi makuu na vitendo vichafu, isipo kuwa makosa khafifu. Hakika Mola wako
- Au masikini aliye vumbini.
- Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo.
- Ule Moto ukiwaona tangu mahali mbali wao watasikia hasira yake na mngurumo wake.
- Na wanapo fanya mambo machafu husema: Tumewakuta nayo baba zetu, na Mwenyezi Mungu ametuamrisha hayo.
- Na namna hivi tuliwa juulisha kwa watu wapate kujua ya kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu
- Wakasema: Hakika wewe ni katika walio rogwa.
- Na kwa nini mlipo yasikia msiseme: Haitufalii kuzungumza haya. Subhanak Umetakasika! Huu ni uzushi mkubwa!
- Wanasema: Ushindi huu ni lini, kama mnasema kweli?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers