Surah Al Imran aya 54 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَكَرُوا وَمَكَرَ اللَّهُ ۖ وَاللَّهُ خَيْرُ الْمَاكِرِينَ﴾
[ آل عمران: 54]
Na Makafiri walipanga mipango na Mwenyezi Mungu akapanga mipango, na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa wenye kupanga.
Surah Al Imran in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the disbelievers planned, but Allah planned. And Allah is the best of planners.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Makafiri walipanga mipango na Mwenyezi Mungu akapanga mipango, na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa wenye kupanga.
Ama hao makafiri wapinzani walipanga njama za chini kwa chini kuupiga vita wito (Dawa) wa Isa. Mwenyezi Mungu alizibatilisha njama zao, wasifanikiwe kuyapata waliyo yakusudia. Na Mwenyezi Mungu kwa hikima yake anawashinda watu wote wafanyao hila.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na atakaye mjia naye ni Muumini aliye tenda mema, basi hao ndio wenye vyeo vya
- Hao ndio watakao hishimiwa Peponi.
- Wala zisikushitue mali zao na watoto wao. Mwenyezi Mungu anataka kuwaadhibu kwa hayo katika dunia;
- Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi
- Na ambao watu watakapo kusanywa watakuwa maadui zao, na wataikataa ibada yao.
- Lakini Mola wake Mlezi alimteua na akamfanya miongoni mwa watu wema.
- Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu?
- Akitaka, huutuliza upepo navyo hivyo vyombo husimama tutwe juu ya bahari. Hakika katika hayo zipo
- Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
- Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja tu - ya kwamba msimame kwa ajili ya Mwenyezi
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Imran with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Imran mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Imran Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers