Surah Zukhruf aya 54 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَاسْتَخَفَّ قَوْمَهُ فَأَطَاعُوهُ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا قَوْمًا فَاسِقِينَ﴾
[ الزخرف: 54]
Basi aliwachezea watu wake, na wakamt'ii. Kwa hakika hao walikuwa watu wapotovu.
Surah Az-Zukhruf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
So he bluffed his people, and they obeyed him. Indeed, they were [themselves] a people defiantly disobedient [of Allah].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi aliwachezea watu wake, na wakamtii. Kwa hakika hao walikuwa watu wapotovu.
Firauni akawa anawachochea watu wake, na akawaathiri kwa udanganyifu huu, nao wakamtii katika upotovu wake. Kwani hao walikuwa watu walio kwisha toka kwenye Dini ya Mwenyezi Mungu Iliyo Nyooka.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi nafsi yake ikampelekea kumuuwa nduguye, akamuuwa na akawa miongoni mwa wenye kukhasirika.
- Akakusanya watu akanadi.
- Wanayajua mnayo yatenda.
- Isipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi
- Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli.
- Akasema: Mwenyezi Mungu atakuleteeni akipenda. Wala nyinyi si wenye kumshinda.
- Na nafsi zikaunganishwa,
- Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza.
- Ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa.
- Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Zukhruf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Zukhruf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Zukhruf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



