Surah Assaaffat aya 6 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا زَيَّنَّا السَّمَاءَ الدُّنْيَا بِزِينَةٍ الْكَوَاكِبِ﴾
[ الصافات: 6]
Hakika Sisi tumeipamba mbingu ya karibu kwa pambo la nyota.
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, We have adorned the nearest heaven with an adornment of stars
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Sisi tumeipamba mbingu ya karibu kwa pambo la nyota.
Sisi tumeipamba hii mbingu ya karibu na watu wa duniani kwa mapambo, nayo ni hizo nyota zinazongara, zenye ukubwa mbali mbali, na mwahala pao mbali mbali kwenye anga la ulimwengu kama ionekanavyo kwa macho.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ni onyo kwa binaadamu,
- Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.
- Ikigundulikana kuwa wawili hao wamestahiki dhambi, basi wawili wengineo kutokana na warithi wenye kudai haki
- Kwani hatukumpa macho mawili?
- Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika
- Watu wote walikuwa ni umma mmoja. Mwenyezi Mungu akapeleka Manabii wabashiri na waonyaji. Na pamoja
- Jua na mwezi huenda kwa hisabu.
- Akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana,
- Na kwa usiku unapo kucha!
- Na hakika tuliwaadhibu watu wa Firauni kwa miyaka (ya ukame) na kwa upungufu wa mazao,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers