Surah Yunus aya 77 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالَ مُوسَىٰ أَتَقُولُونَ لِلْحَقِّ لَمَّا جَاءَكُمْ ۖ أَسِحْرٌ هَٰذَا وَلَا يُفْلِحُ السَّاحِرُونَ﴾
[ يونس: 77]
Akasema Musa: Mnasema hivi juu ya Haki ilipo kujieni? Huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi!
Surah Yunus in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Moses said, "Do you say [thus] about the truth when it has come to you? Is this magic? But magicians will not succeed."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Akasema Musa: Mnasema hivi juu ya Haki ilipo kujieni? Huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi!
Musa akawaambia kukanya uzushi wao: Nyinyi mnaita Haki iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu kuwa ni uchawi? Hivyo hii kweli mliyo iona kwa macho yenu ni uchawi? Basi hivi hapa mimi nakutakeni mthibitishe kwamba huu ni uchawi. Waleteni wachawi wathibitishe hayo mnayo yadai. Na wachawi hawafanikiwi abadan!
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sema: Je! Yupo katika miungu yenu ya ushirikina aliye anzisha kuumba viumbe, na kisha akavirejesha?
- Je, hamtapigana na watu walio vunja viapo vyao na wakawa na hamu ya kumfukuza Mtume,
- Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo.
- Watasema: (Ufalme huo) ni wa Mwenyezi Mungu. Sema: Basi vipi mnadanganyika?
- Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze.
- Watu wa Machakani waliwakanusha Mitume.
- Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
- Isipo kuwa Iblisi; alijivuna na akawa katika makafiri.
- Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya
- Ili mumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na mumsaidie, na mumhishimu, na mumtakase asubuhi na
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yunus with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yunus mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yunus Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers