Surah Anam aya 86 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِسْمَاعِيلَ وَالْيَسَعَ وَيُونُسَ وَلُوطًا ۚ وَكُلًّا فَضَّلْنَا عَلَى الْعَالَمِينَ﴾
[ الأنعام: 86]
Na Ismail, na Al Yasaa, na Yunus, na Lut'. Na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote.
Surah Al-Anam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And Ishmael and Elisha and Jonah and Lot - and all [of them] We preferred over the worlds.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Ismail, na Al Yasaa, na Yunus, na Lut. Na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote.
Na tuliwaahidi Ismail, na Alyasaa, na Yunus, na Lut; na tukawafadhilisha kila mmoja wa hawa wote kushinda walimwengu wote wa zama zao, kwa kuwapa uwongofu na Unabii.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Mola wako Mlezi mtukuze!
- Basi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakao adhibiwa.
- Na wewe si chochote ila ni mtu tu kama sisi, na kwa yakini tunakuona wewe
- H'a Mim
- Ila mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni watao bakia nyuma.
- Na katika Ishara zake ni kulala kwenu usiku na mchana, na kutafuta kwenu fadhila zake.
- Na ardhi tumeitandaza; basi watandazaji wazuri namna gani Sisi!
- Fungu kubwa katika wa mwanzo,
- Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu?
- Mpaka walipo fika kwenye bonde la wadudu chungu, alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers