Surah Nahl aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَتَىٰ أَمْرُ اللَّهِ فَلَا تَسْتَعْجِلُوهُ ۚ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ﴾
[ النحل: 1]
Amri ya Mwenyezi Mungu itafika tu. Basi msiihimize. Ametakasika na Ametukuka na wanayo mshirikisha nayo.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The command of Allah is coming, so be not impatient for it. Exalted is He and high above what they associate with Him.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Amri ya Mwenyezi Mungu itafika tu. Basi msiihimize. Ametakasika na Ametukuka na wanayo mshirikisha nayo.
Enyi washirikina! Kuweni na yakini kwamba aliyo kuahidini Mwenyezi Mungu kuwa yatakuwa Siku ya Kiyama yapo karibu kutokea bila ya shaka. Basi msifanye maskhara kwa kuyahimiza yatokee. Mwenyezi Mungu ametakasika na kuwa na mshirika wa kuabudiwa badala yake. Na hiyo miungu mnayo mshirikisha naye haiwezi jambo lolote.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni.
- Nao husema: Tutapo kwisha potea chini ya ardhi, ni kweli tutarudishwa katika umbo jipya? Bali
- Wito wao humo utakuwa: Subhanaka Llahumma "Umetakasika Ee Mwenyezi Mungu!" Na maamkio yao humo ni
- Huku wakitimua vumbi,
- Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao.
- Ati aliye lelewa katika mapambo, na katika mabishano hawezi kusema kwa bayana...?
- Na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho bainisha.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Kisha tunakivutia kwetu kidogo kidogo.
- Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers