Surah Baqarah aya 11 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ لَا تُفْسِدُوا فِي الْأَرْضِ قَالُوا إِنَّمَا نَحْنُ مُصْلِحُونَ﴾
[ البقرة: 11]
Na wanapo ambiwa: Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji.
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when it is said to them, "Do not cause corruption on the earth," they say, "We are but reformers."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wanapo ambiwa: Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji.
Na pindi mmojawapo wa walio ongoka akiwaambia hawa wanaafiki: -Msifanye uharibifu katika nchi kwa kuipinga Njia ya Mwenyezi Mungu, na kueneza fitna, na kuwasha moto wa vita,- wao hujitoa makosani mwa uharibifu, na husema: -Kee sisi ndio tunao tengeneza.- Na hayo ni kwa kuwa ghururi yao imepita mpaka. Huu ndio mwendo wa kila mharibifu, khabithi mwenye ghururi. Yeye hudai kuwa ule uharibifu wake ndio matengenezo na maendeleo.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hawatasikia humo upuuzi.
- Kwa hayo Yeye anaizalisha kwa ajili yenu mimea, na mizaituni, na mitende, na mizabibu, na
- Bali wameyakanusha wasio yaelewa ilimu yake kabla hayajawajia maelezo yake. Kadhaalika walio kabla yao walikanusha
- Nendeni kwa Firauni. Hakika yeye amepindukia mipaka.
- Na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee.
- Hakika katika haya ipo Ishara, lakini si wengi wao walio kuwa Waumini.
- Basi mnakwenda wapi?
- Utawaona hao madhaalimu wanavyo kuwa na khofu kwa sababu ya waliyo yachuma, nayo yatawafika tu.
- Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni;
- Na hakika tulimwonyesha ishara zetu zote. Lakini alikadhibisha na akakataa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



