Surah Baqarah aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ذَٰلِكَ الْكِتَابُ لَا رَيْبَ ۛ فِيهِ ۛ هُدًى لِّلْمُتَّقِينَ﴾
[ البقرة: 2]
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
This is the Book about which there is no doubt, a guidance for those conscious of Allah -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Hichi ndicho Kitabu kilicho kamilika, kisicho kuwa na dowa, nacho ni Qurani tunayo iteremsha isiyo tiliwa shaka yoyote na kila mwenye akili na mwenye insafu akajua kuwa inatoka kwa Mwenyezi Mungu. Wala haitilii shaka kuwa yasemwayo juu ya mambo na hukumu ni ya kweli tupu. Ndani ya Kitabu hichi upo uwongofu ulio kamilika kwa walio kuwa tayari kuitafuta Kweli, na wanajikinga na madhara na mambo ya kuwaletea adhabu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wala hawakumhishimu Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kadiri yake. Na Siku ya Kiyama ardhi
- Na zaidi ya hizo zipo Bustani nyengine mbili.
- Watanyweshwa kinywaji safi kiliyo tiwa muhuri,
- Kuleni katika vitu vizuri hivyo tulivyo kuruzukuni, wala msiruke mipaka katika hayo, isije ikakushukieni ghadhabu
- (Itasemwa:) Mkamateni na mtupeni katikati ya Jahannamu!
- Wale wanao subiri na wakamtegemea Mola wao Mlezi.
- Aliye kuwa akinambia: Hivyo wewe ni katika wanao sadiki
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Lao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo).
- Na bila ya shaka tumewapigia watu mifano ya kila namna katika hii Qur'ani ili wapate
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers