Surah Nahl aya 24 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا قِيلَ لَهُم مَّاذَا أَنزَلَ رَبُّكُمْ ۙ قَالُوا أَسَاطِيرُ الْأَوَّلِينَ﴾
[ النحل: 24]
Na wanapo ambiwa: Kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: Hadithi za kubuni za watu wa kale!
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when it is said to them, "What has your Lord sent down?" They say, "Legends of the former peoples,"
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wanapo ambiwa: Kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: Hadithi za kubuni za watu wa kale!
Na wakiulizwa hao makafiri wanao jivuna: Mola wenu Mlezi kamteremshia nini Muhammad? Wao hujibu kwa inda: Hayo anayo dai kuwa Mwenyezi Mungu kamteremshia si chochote ila uzushi na upuuzi walio tunga watu wa zamani naye akayanukulu na akawa anayakariri tu.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- (Musa) akasema: Ndiye Mola wenu Mlezi, na Mola Mlezi wa baba zenu wa kwanza.
- Na hawakutupoteza ila wale wakosefu.
- Na hakika Harun alikwisha waambia kabla yake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmetiwa mtihanini tu
- Ewe Yahya! Kishike Kitabu kwa nguvu! Nasi tulimpa hikima angali mtoto.
- AKASEMA: Basi ujumbe wenu ni nini, enyi mlio tumwa?
- Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na
- Leo kila nafsi italipwa kwa iliyo chuma. Hapana dhulma leo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi
- Au yanakufaeni, au yanakudhuruni?
- Na haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea,
- Wala mimi si wa kuwafukuza Waumini.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



