Surah Shuara aya 35 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿يُرِيدُ أَن يُخْرِجَكُم مِّنْ أَرْضِكُم بِسِحْرِهِ فَمَاذَا تَأْمُرُونَ﴾
[ الشعراء: 35]
Anataka kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani?
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
He wants to drive you out of your land by his magic, so what do you advise?"
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Anataka kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani?
Tena Firauni akasema: Mchawi huyu anataka kunifanyia kahari apate kukutoeni katika hii nchi yenu. Na haya ni uchochezi dhidi ya Musa, kwani katika la dhiki mno katika hayo yaliyo dhiki ni mtu kuiacha nchi yake, na khasa ikiwa kwa kahari. Naye akataka mawazo ya wale walio kuwa wanamuabudu. Kasahau ungu wake kwa nguvu za Ishara za Musa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na je! Imekufikia khabari ya wagombanao walipo pindukia ukuta kuingia chumbani?
- Wakizikataa neema tulizo wapa. Basi stareheni. Mtakuja jua!
- Na yupo kati yenu anaye bakia nyuma; na ukikusibuni msiba husema: Mwenyezi Mungu kanifanyia kheri
- Katika miaka michache. Amri ni ya Mwenyezi Mungu kabla yake na baada yake. Na siku
- Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa Waarabu,
- Na hakika tumekuteremshieni Kitabu ambacho ndani yake yamo makumbusho yenu. Je! Hamzingatii?
- Basi wasamehe, na uwambie maneno ya salama. Watakuja jua.
- Atendaye ayatakayo.
- Asubuhi wakaitana.
- Hivi inaelekea zaidi ya kwamba watatoa ushahidi ulio sawa au wataogopa visije vikaletwa viapo vingine
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers