Surah Tin aya 4 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ﴾
[ التين: 4]
Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
Surah At-Tin in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
We have certainly created man in the best of stature;
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
Kwa hakika bila ya shaka yoyote Sisi tumemuumba mtu amesimama sawa kwa umbo bora kabisa lilio nyooka, na akasifika kwa sifa nzuri kabisa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi Mwenyezi Mungu akikurudisha kwenye kikundi kimoja miongoni mwao - na wakakutaka idhini ya kutoka
- Na milima itakuwa kama sufi.
- Wala msiwe kama mwanamke anaye uzongoa uzi wake baada ya kwisha usokota ukawa mgumu. Mnavifanya
- Katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga.
- Wakasema: Kumbe wewe ndiye Yusuf? Akasema: Mimi ndiye Yusuf, na huyu ni ndugu yangu. Mwenyezi
- Enyi Watu wa Kitabu! Amekwisha kujieni Mtume wetu anaye kufichulieni mengi mliyo kuwa mkiyaficha katika
- Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa.
- Watapata watakacho taka kwa Mola wao Mlezi. Hayo ndiyo malipo ya watendao mema.
- Mola Mlezi wa Musa na Haarun.
- Hayatindikii wala hayakatazwi,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Tin with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Tin mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Tin Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers