Surah Furqan aya 46 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ثُمَّ قَبَضْنَاهُ إِلَيْنَا قَبْضًا يَسِيرًا﴾
[ الفرقان: 46]
Kisha tunakivutia kwetu kidogo kidogo.
Surah Al-Furqan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then We hold it in hand for a brief grasp.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kisha tunakivutia kwetu kidogo kidogo.
Na kukiondoa kwetu kivuli ni kwa utaratibu, kwa kipimo. Hakukuwa kwa mara moja. Na katika hayo yapo manufaa kwa watu.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hawatasikia humo upuuzi wala uwongo -
- Akasema: Bali amefanya hayo huyu mkubwa wao. Basi waulizeni ikiwa wanaweza kutamka.
- Nao huku wanazuia msaada.
- Na mna nini msipigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu na ya wale wanao onewa, wanaume
- Na lau tungeli ifanya Qur'ani kwa lugha ya kigeni wangeli sema: Kwanini Aya zake haziku
- Na akamwambia yule aliye jua kuwa atavuka katika wale wawili: Nikumbuke kwa bwana wako. Lakini
- Ulio vunja mgongo wako?
- Hakika tumekutuma wewe uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji,
- Akasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.
- Au hatawashika kwa kitisho na kuwapunguza kidogo kidogo? Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye huruma,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Furqan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Furqan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Furqan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



