Surah Qalam aya 52 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَا هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ لِّلْعَالَمِينَ﴾
[ القلم: 52]
Na hayakuwa haya, ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote.
Surah Al-Qalam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
But it is not except a reminder to the worlds.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hayakuwa haya, ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote.
Na Qurani si chochote ila ni mawaidha, na hikima, na ukumbusho kwa walimwengu wote.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kwani hatukumpa macho mawili?
- Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu.
- Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake!
- Basi akasema: Navipenda vitu vizuri kwa kumkumbuka Mola wangu Mlezi. Kisha wakafichikana nyuma ya boma.
- Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha
- Basi wapuuze, nawe ngonja; hakika wao wanangoja.
- Na hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa. Basi kifuateni, na mchenimngu, ili mrehemewe.
- Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo
- Sisi tukasema: Ewe moto! Kuwa baridi na salama kwa Ibrahim!
- Ambao wanadumisha Sala zao,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qalam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qalam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qalam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers