Surah Baqarah aya 53 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذْ آتَيْنَا مُوسَى الْكِتَابَ وَالْفُرْقَانَ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ﴾
[ البقرة: 53]
Na tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka.
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And [recall] when We gave Moses the Scripture and criterion that perhaps you would be guided.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka.
Na kumbukeni tulipo kuneemesheni kwa kukumteremshia Nabii wenu Musa Kitabu chetu Taurati, Kitabu ambacho kinafarikisha baina ya Haki na baatili, na kinabainisha baina ya Halali na Haramu, ili mpate kupata uwongozi kwa nuru yake na muongoke kutokana na upotovu kwa kuzingatia yaliyomo ndani yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kila kilioko juu yake kitatoweka.
- Bustani za milele zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na hayo ni malipo ya mwenye
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya!
- Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu?
- Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa.
- Na kaumu ngapi tuliziangamiza zilizo kuwa na mapambo mazuri zaidi na wazuri zaidi kwa kuwatazama!
- Na misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu. Naye anasamehe mengi.
- Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
- Basi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers