Surah Kahf aya 54 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ صَرَّفْنَا فِي هَٰذَا الْقُرْآنِ لِلنَّاسِ مِن كُلِّ مَثَلٍ ۚ وَكَانَ الْإِنسَانُ أَكْثَرَ شَيْءٍ جَدَلًا﴾
[ الكهف: 54]
Na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii Qur'ani kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.
Surah Al-Kahf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have certainly diversified in this Qur'an for the people from every [kind of] example; but man has ever been, most of anything, [prone to] dispute.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii Qurani kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.
Na Mwenyezi Mungu amewatajia watu katika Qurani hii, wanayo ikanusha na wakataka waletewe muujiza mwenginewe, mifano namna kwa namna, ili wapate kuwaidhika kwayo. Lakini mwanaadamu tabia yake ni kupenda kubishana. Akiwa kafiri basi atabisha hata kwa uwongo.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wadumu humo - kituo na makao mazuri kabisa.
- Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
- Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefu lau ajikomboe na adhabu ya siku hiyo kwa kuwatoa
- Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi.
- Yakateketezwa matunda yake, akabaki akipindua pindua viganja vyake, kwa vile alivyo yagharimia, na miti imebwagika
- Siku watakayo waona Malaika haitakuwa furaha siku hiyo kwa wakosefu. Na watasema: Mungu apishe mbali!
- Hakika wale walio amini na wakatenda mema na wakashika Sala na wakatoa Zaka, wao watapata
- Qur'ani ya Kiarabu isiyo na upogo, ili wamche Mungu.
- Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini.
- Humo watadumu. Hawatapunguziwa adhabu wala hawatapewa nafasi.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Kahf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Kahf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Kahf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



