Surah Al Qamar aya 18 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿كَذَّبَتْ عَادٌ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ﴾
[ القمر: 18]
Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
Surah Al-Qamar in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
'Aad denied; and how [severe] were My punishment and warning.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kina Adi walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
Kina Adi walimkadhibisha Mtume wao Hudi. Je, hali gani adhabu yangu na onyo langu lilikuwa kwa wendao kinyume!
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sema: Nionyesheni mlio waunganisha naye kuwa washirika. Hasha! Bali Yeye ndiye Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu,
- Hatauingia ila mwovu kabisa!
- Akenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliye nona.
- Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo,
- Karibu utaona, na wao wataona,
- Na kwa nini tusimuamini Mwenyezi Mungu na Haki iliyo tujia, na hali tunatumai Mola wetu
- Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
- Hakika wachamngu watakuwa katika vivuli na chemchem,
- Na wale miongoni mwenu wanao kufa na wakawacha wake, na wausie kwa ajili ya wake
- Wakasema: Wallahi! Huachi kumkumbuka Yusuf mpaka uwe mgonjwa au uwe katika walio hiliki.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Qamar with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Qamar mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Qamar Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers