Surah Shuara aya 197 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَوَلَمْ يَكُن لَّهُمْ آيَةً أَن يَعْلَمَهُ عُلَمَاءُ بَنِي إِسْرَائِيلَ﴾
[ الشعراء: 197]
Je! Haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanazuoni wa Wana wa Israili?
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And has it not been a sign to them that it is recognized by the scholars of the Children of Israel?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je! Haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanazuoni wa Wana wa Israili?.
Je! Hawa wenye inda wanaikataa Qurani na hali wao wanayo hoja inayo onyesha ukweli wa Muhammad s.a.w., nayo ni ilimu ya wanazuoni wa Wana wa Issraili juu ya Qurani kama ilivyo katika vitabu vyao?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
- La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa,
- Na tukamfanya mwana wa Mariamu na mama yake kuwa ni Ishara, na tukawapa makimbilio kwenda
- Ufalme wa haki siku hiyo utakuwa wa Arrahman, Mwingi wa Rehema, na itakuwa siku ngumu
- Hakika Mwenyezi Mungu atawaingiza walio amini na wakatenda mema katika Bustani zipitazo mito kati yake.
- Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani,
- Hao watakuwa katika Mabustani, wawe wanaulizana
- Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha?
- Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani?
- Ambayo nyinyi mnaipuuza.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers