Surah Qaf aya 27 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ قَالَ قَرِينُهُ رَبَّنَا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَٰكِن كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ﴾
[ ق: 27]
Mwenzake aseme: Ee Mola wetu Mlezi! Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa mbali.
Surah Qaf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
His [devil] companion will say, "Our Lord, I did not make him transgress, but he [himself] was in extreme error."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Mwenzake aseme: Ee Mola wetu Mlezi! Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa mbali.
Shetani atasema kumrudi yule kafiri: Ewe Mola wangu Mlezi! Mimi siye niliye mfanya awe mwenye kuAsi, lakini yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa mbali na haki. Na mimi nilimsaidia tu kwa kumpotoa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sema: Naam! Hali nanyi ni madhalili.
- Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapo fufuliwa.
- Wasiweze kuwasikiliza viumbe watukufu. Na wanafukuzwa huko kila upande.
- Siku hiyo uombezi haufai kitu, ila wa aliye mruhusu Arrahmani Mwingi wa Rehema na akamridhia
- Na wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?
- Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake!
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shet'ani ni
- Na nyinyi wakati huo mnatazama!
- Na kwa mji huu wenye amani!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qaf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qaf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qaf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers