Surah Muminun aya 34 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَئِنْ أَطَعْتُم بَشَرًا مِّثْلَكُمْ إِنَّكُمْ إِذًا لَّخَاسِرُونَ﴾
[ المؤمنون: 34]
Na nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani.
Surah Al-Muminun in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And if you should obey a man like yourselves, indeed, you would then be losers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na nyinyi mkimtii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani.
Na wakawahadharisha kwa nguvu na mkazo, wakiwaambia: Mkimtii mtu aliye kama nyinyi kwa utu wake, basi nyinyi hakika mtakuwa mmekhasiri kwa kuwa hamtapata manufaa yo yote mkimfuata.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ni nini kilicho kupelekeni Motoni?
- Hakika katika haya ipo ishara kwa yule anaye ogopa adhabu ya Akhera. Hiyo ndiyo Siku
- Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki, hapana mungu ila Yeye, Mola Mlezi wa A'rshi Tukufu.
- Hakika katika mbingu na ardhi ziko Ishara kwa Waumini.
- Na kwa yakini tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi,
- Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio
- Nao wako juu ya viti vya enzi wakiangalia.
- Katika miaka michache. Amri ni ya Mwenyezi Mungu kabla yake na baada yake. Na siku
- Basi Subhanallah! Mtakaseni Mwenyezi Mungu jioni na asubuhi,
- Na tungeli taka tunge wageuza sura hapo hapo walipo, basi wasinge weza kwenda wala kurudi.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muminun with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muminun mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muminun Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers