Surah Hajj aya 51 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَالَّذِينَ سَعَوْا فِي آيَاتِنَا مُعَاجِزِينَ أُولَٰئِكَ أَصْحَابُ الْجَحِيمِ﴾
[ الحج: 51]
Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni.
Surah Al-Hajj in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
But the ones who strove against Our verses, [seeking] to cause failure - those are the companions of Hellfire.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni.
Na wale walio jikukusa nafsi zao katika kuipiga vita Qurani kushindana na Waumini na kuwapinga, wakitamani na kudai kwa uwongo, kwamba wao watapata wayatakayo - watu hao watabaki milele katika adhabu ya Motoni.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Yeye ndiye aliyeizuia mikono yao kwenu, na mikono yenu kwao, katika bonde la Makka
- Kila kilioko juu yake kitatoweka.
- Na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni Fitna (mtihani), na kwamba kwa
- Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Kisha akapiga jicho kutazama nyota.
- Na ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima.
- Hakika Mwenyezi Mungu amemtimizia Mtume wake ndoto ya haki. Bila ya shaka nyinyi mtauingia Msikiti
- Amewafanya miungu wote kuwa ni Mungu Mmoja tu? Hakika hili ni jambo la ajabu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hajj with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hajj mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hajj Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers